TANZANIA ADVOCACY OF ENLIGHTENING SOCIETIES (TAESO)

Sunday, December 28, 2014

Chakula cha pamoja


By on 9:15 AM



Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana na Tanzania Advocacy Of Enlightening Societies (TAESO), wakipata chakula cha mchana (CHRISTIMAS LUNCH) mnamo tarehe 25-12-2014 huko Miuji (Dodoma) katika kituo cha kulelea watoto wenye uhitaji cha "Matumaini".



0 comments:

Post a Comment