TANZANIA ADVOCACY OF ENLIGHTENING SOCIETIES (TAESO)

Monday, January 5, 2015

TAESO wakitembea kituo cha kulelea watoto yatima na wasiojiweza (CHAKUWAMA) Mwenge jijini Dar es Salaam


By on 12:38 AM



Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wakiwa pamoja na Tanzania Advocacy of Enlightening Societies (TAESO) walipokitembelea kituo cha kulelea watoto yatima na wasiojiweza (CHAKUWAMA) kilichopo Mwenge jijini Dar es salaam mnamo tarehe 21/12/2014.



0 comments:

Post a Comment